Malawi Tuesday , June 11, 2024
Last Updated June 11th, 2024 3:02 PM
Kimataifa –
MALAWI YAOMBOLEZA KIFO CHA ALIYEKUWA MAKAMU WA RAIS SAULOS CHILIMA.

Malawi yaomboleza kifo cha Makamu wa Rais na watu wengine tisa.
By I P June 11, 2024
Mashirika na Khamati Mwabaka
LILONGWE, MALAWI
RAIS wa Malawi Lazarus Chakwera amelihutubia taifa na kusema kwamba Makamu wa Rais Saulos Chilima na watu wengine tisa waliokuwa kwa ndege iliyopata ajali Jumatatu, wameaga dunia.
Chilima,51, mke wa Rais wa zamani Shanil Dzimbiri na watu wengine wanane walikuwa katika ndege hiyo ya kijeshi iliyokuwa ikitoka Lilongwe ikitarajiwa kutua katika uwanja wa ndege wa Mzuzu.
Wengine walioangamia ni Lukas Kapheni, Chisomo Chimaneni, Gloria Mtukule, Dan Kanyemba, Abdul Lapukeni pamoja na Kanali Sambalopa, Meja Selemani, na Meja Aidin. Hawa watatu wa mwisho ni maafisa wa jeshi la Malawi (MDF) waliokuwa na wajibu wa kuiendesha ndege hiyo MAF TO3.
Baada ya operesheni kubwa ya kutafuta ndege, ilipatikana Jumanne katika msitu wa Chikangawa, na abiria wote wakiwa wamefariki.
“Niko na huzuni ninapofahamisha umma kwamba tuna mkasa mkubwa. Timu ya uokozi imepata ndege kwenye mlima… Waokoaji wameipata ikiwa imeharibika kabisa bila manusura,” Rais Chakwera akasema Jumanne.
Mnamo Jumatatu jioni, afisi ya Rais Chakwera na Baraza la Mawaziri, walitoa taarifa rasmi kufafanua kuhusu ajali hiyo.
Waelekezi wa ndege waliielekeza ipinduke baada ya rubani kushindwa kutua katika uwanja wa ndege wa Mzuzu lakini mara iliporudi ilipotea kwa rada ya mawasiliano.
Hii ilitokana na hali mbaya ya hewa na kuchangia rubani kutoona vizuri.
Chilima amekuwa makamu wa rais tangu mwaka 2014. Awali, aliongoza kampuni ya simu ya Airtel Malawi.
Kulingana na wasifu wake kwenye tovuti ya serikali, amewahi pia kufanya kazi katika kampuni kama Unilever, Coca-Cola na Carlsberg.
Chilima alikumbana na kifo alipokuwa akienda kuhudhuria mazishi ya aliyekuwa Mwanasheria Mkuu na Waziri wa Haki, Ralph Kasambara.
I P
Stay Connected
Be our fan
Follow us
Join us
Intellectual Posts Newsletter
Subscribe our newsletter to stay informed
© Copryright 2024 Intellectual Posts. All Rights Reserved




https://watchnow.gomuviz.com/
Nice post. I learn something totally new and challenging
on websites I stumbleupon on a daily basis.
It’s always useful to read content from other authors and use something from other web
sites.
https://comedy.gomuviz.com
Hi there! I could have sworn I’ve visited this blog before but after going through some of the articles I realized it’s new to
me. Anyways, I’m certainly happy I found it and I’ll be bookmarking it and checking back often!
What’s up colleagues, how is the whole thing, and what you would
like to say concerning this piece of writing, in my view its truly awesome for me.
https://namescrunch.blogspot.com
If you wіsh for to obtɑin mսch from this article then үou haѵe tߋߋ apoply such methods tⲟ your won web site.
https://magicboxpro.flowcartz.com/
Wow that was unusual. I just wrote an extremely long comment but after I clicked submit my comment didn’t appear.
Grrrr… well I’m not writing all that over again. Regardless, just wanted to say fantastic blog!
https://alientechnologyunveiled.blogspot.com/
Hi, i think that i saw you visited my weblog thus i came to “return the favor”.I am attempting to find
things to improve my site!I suppose its ok to use a few of your ideas!!
Wonderful post but I was wondering if you could write a litte more on this topic?
I’d be very thankful if you could elaborate a little bit more.
Thank you!
Why visitors still make use of to read news papers when in this technological globe
everything is existing on net?
Ridiculous story there. What happened after? Take care!
Marvelous, what a web site it is! This blog gives useful data to us,
keep it up.
https://magicboxpro.flowcartz.com/
You actually make it appear really easy with your presentation however I in finding this matter to be actually something that
I believe I’d by no means understand. It sort of feels
too complex and extremely extensive for me. I am taking a look ahead
in your next put up, I’ll attempt to get the cling of it!
https://magicboxpro.flowcartz.com/
What a information of un-ambiguity and preserveness of valuable know-how on the topic of unpredicted emotions.
https://watchnow.gomuviz.com/
Thank you, I have recently been looking for information about this subject
for ages and yours is the greatest I’ve came upon so far.
But, what concerning the bottom line? Are you certain in regards to the supply?
Great site you have got here.. It’s hard to find high-quality
writing like yours nowadays. I truly appreciate people like you!
Take care!!