Monday, January 19, 2026
spot_img
HomeCountiesMAKAZI YA NAIBU CHIFU YATEKETEZWA TESO KUSINI

MAKAZI YA NAIBU CHIFU YATEKETEZWA TESO KUSINI

Naibu chifu wa kata ndogo ya Aterait katika eneo bunge la Teso kusini Edwin Anyiko amenusurika kifo usiku wa kuamkia leo, baada ya watu wasiojulikana kuteketeza nyumba yake usiku wa kuamkia leo.Naibu chifu huyo ambaye ana miezi 5 afisini, anadai yuko hatarini baada ya juhudi zake za kupambana na pombe haramu na wizi wa mifugo eneo hilo kupata pingamizi kutoka kwa baadhi ya wenyeji.
RELATED ARTICLES

LEAVE A REPLY

Please enter your comment!
Please enter your name here

- Advertisment -
Google search engine

Most Popular

Recent Comments

soumis on
Rhys on
WooCommerce on
WooCommerce on
WooCommerce on
WooCommerce on
WooCommerce on
Open chat
Chat On WhatsApp!
Hello
Can we help you?